bible.software › Genesis › Genesis 42 › Genesis 42:32
Genesis 42:32
Tulizaliwa ndugu kumi na wawili, wana wa baba mmoja. Mmoja alikufa, na mdogo wetu wa mwisho yupo na baba yetu huko Kanaani.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
We be twelve brethren, sons of our father; one is not, and the youngest is this day with our father in the land of Canaan.
In Context
31Lakini tulimwambia, ‘Sisi ni watu waaminifu, sio wapelelezi.
33“Ndipo huyo mtu aliye bwana katika nchi hiyo alipotuambia, ‘Hivi ndivyo nitafahamu kuwa ninyi ni watu waaminifu: Mwacheni mmoja wa ndugu zenu pamoja nami hapa, kisha nendeni mpeleke chakula kwa ajili ya jamaa yenu inayoteseka kwa njaa.
Read all of Genesis 42
Cross References
Genesis 42:13Lakini wakamjibu, “Watumishi wako walikuwa kumi na wawili, wana wa mtu mmoja ambaye anaishi katika nchi ya Kanaani. Sasa mdogo wetu wa mwisho yupo na baba yetu na mwingine alikufa.”
This Verse In Other Editions
Study Genesis 42:32