bible.software › Genesis › Genesis 43 › Genesis 43:33
Genesis 43:33
Watu hao walikuwa wameketi mbele yake kwa mfuatano wa umri wao, kuanzia mzaliwa wa kwanza hadi mzaliwa wa mwisho, wakatazamana wao kwa wao kwa mshangao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they sat before him, the firstborn according to his birthright, and the youngest according to his youth: and the men marvelled one at another.
In Context
32Wakampakulia Yosefu peke yake, ndugu zake peke yao na Wamisri waliokula pamoja naye peke yao, kwa sababu Wamisri wasingeweza kula pamoja na Waebrania, kwa maana ilikuwa ni chukizo kwa Wamisri.
34Wakati walipelekewa sehemu ya chakula kutoka mezani mwa Yosefu, sehemu ya Benyamini ilikuwa mara tano zaidi ya sehemu ya wale wengine. Kwa hiyo wakanywa na kufurahi pamoja naye.
Read all of Genesis 43
Cross References
Genesis 44:12Ndipo msimamizi akaendelea kutafuta, akianzia kwa mkubwa wa wote na akaishia kwa mdogo wa wote. Basi kikombe kikapatikana katika gunia la Benyamini.
Exodus 28:10kufuatana na walivyozaliwa: majina sita katika kito kimoja, na mengine sita katika kito kingine.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 43:33