Genesis 43:5
Lakini ikiwa hutamruhusu aende, hatutakwenda, kwa sababu mtu yule alituambia, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje pamoja na ndugu yenu.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Kama utakubali ndugu yetu aende pamoja nasi, tutakwenda kuwanunulia chakula.
6Israeli akauliza, “Kwa nini mkaniletea taabu hii kwa kumwambia yule mtu mlikuwa na ndugu mwingine?”
Cross References
Genesis 42:15Na hivi ndivyo mtakavyojaribiwa: Hakika kama Farao aishivyo, hamtaondoka mahali hapa mpaka ndugu yenu mdogo aje hapa.
Genesis 44:25“Ndipo baba yetu aliposema, ‘Rudini Misri mkanunue chakula kingine.’
Exodus 20:12Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako. 1