bible.software › Genesis › Genesis 43 › Genesis 43:6
Genesis 43:6
Israeli akauliza, “Kwa nini mkaniletea taabu hii kwa kumwambia yule mtu mlikuwa na ndugu mwingine?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Israel said, Wherefore dealt ye so ill with me, as to tell the man whether ye had yet a brother?
In Context
5Lakini ikiwa hutamruhusu aende, hatutakwenda, kwa sababu mtu yule alituambia, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje pamoja na ndugu yenu.’ ”
7Wakamjibu, “Yule mtu alituhoji kwa undani sana habari zetu na za jamaa yetu. Alituuliza, ‘Je, baba yenu bado yungali hai? Je mnaye ndugu mwingine?’ Sisi tulimjibu maswali yake tu. Tungewezaje kujua kwamba angesema, ‘Mleteni mdogo wenu hapa’?”
Read all of Genesis 43
This Verse In Other Editions
Study Genesis 43:6