Genesis 45:27
Lakini walipokwisha kumweleza kila kitu ambacho Yosefu alikuwa amewaambia, na alipoona magari ya kukokotwa Yosefu aliyokuwa amempelekea ya kumchukua aende Misri, roho ya baba yao Yakobo ikahuishwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Ndipo Israeli akasema, “Nimesadiki! Mwanangu Yosefu bado yu hai. Nitakwenda nikamwone kabla sijafa.”
Cross References
Judges 15:19Bwana akafunua shimo huko Lehi, pakatoka maji. Samsoni alipoyanywa, nguvu zikamrudia na kuhuika. Hivyo chemchemi ile ikaitwa En-Hakore, + 15:19 En-Hakore maana yake ni Chemchemi ya Aliyeita. nayo iko mpaka leo huko Lehi.
Psalms 85:6Je, hutatuhuisha tena, 2 ili watu wako wakufurahie? 1
Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1