bible.software › Genesis › Genesis 47 › Genesis 47:28
Genesis 47:28
Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jacob lived in the land of Egypt seventeen years: so the whole age of Jacob was an hundred forty and seven years.
In Context
27Basi Waisraeli wakaishi Misri katika nchi ya Gosheni. Wakapata mali huko wakastawi na kuongezeka kwa wingi sana.
29Wakati ulipokaribia wa Israeli kufa, akamwita mwanawe Yosefu na kumwambia, “Kama nimepata kibali machoni pake, weka mkono wako chini ya paja langu na uniahidi kuwa utanifanyia fadhili na uaminifu. Usinizike Misri,
Read all of Genesis 47
Cross References
Genesis 25:7Kwa jumla, Abrahamu aliishi miaka 175.
Genesis 47:8Farao akamuuliza, “Je una umri gani?”
Psalms 90:10Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, 2 au miaka themanini ikiwa tuna nguvu, 2 lakini yote ni ya shida na taabu, 2 nazo zapita haraka, nasi twatoweka. 1
Psalms 119:84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini? 2 Ni lini utawaadhibu washtaki wangu? 1
This Verse In Other Editions
Study Genesis 47:28