bible.software › Genesis › Genesis 47 › Genesis 47:8
Genesis 47:8
Farao akamuuliza, “Je una umri gani?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Pharaoh said unto Jacob, How old art thou?
In Context
7Ndipo Yosefu akamleta Yakobo baba yake na kumtambulisha mbele ya Farao. Baada ya Yakobo kumbariki Farao,
9Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”
Read all of Genesis 47
Cross References
Genesis 47:28Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 47:8