The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 48 › Genesis 48:16

Genesis 48:16

Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The Angel which redeemed me from all evil, bless the lads; and let my name be named on them, and the name of my fathers Abraham and Isaac; and let them grow into a multitude in the midst of the earth.

In Context

15Ndipo akambariki Yosefu akisema, 1 “Mungu ambaye baba zangu 2 Abrahamu na Isaki walimtii, 1 Mungu ambaye amekuwa mchungaji 2 wa maisha yangu yote mpaka leo hii, 1

17Yosefu alipoona baba yake akiweka mkono wa kuume juu ya kichwa cha Efraimu, hakupendezwa, kwa hiyo akauchukua mkono wa baba yake kutoka kichwa cha Efraimu na kuuweka juu ya kichwa cha Manase.

Read all of Genesis 48

Cross References

Genesis 16:7Malaika wa Bwana akamkuta Hagari karibu na chemchemi huko jangwani; ilikuwa chemchemi ile iliyokuwa kando ya barabara iendayo Shuri.

Genesis 28:13Juu yake alisimama Bwana, akasema, “Mimi ni Bwana, Mungu wa baba yako Abrahamu na Mungu wa Isaki. Nchi ambayo umelala juu yake, nitakupa wewe na uzao wako.

Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”

Genesis 49:22“Yosefu ni mzabibu uzaao, 2 mzabibu uzaao ulio kando ya chemchemi, 2 ambao matawi yake hutanda ukutani. 1

Exodus 3:2Huko malaika wa Bwana akamtokea Mose katika mwali wa moto kutoka kichakani. Mose akaona kwamba ingawa kile kichaka kilikuwa kinawaka moto, kilikuwa hakiteketei.

Numbers 1:46Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 48:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 48:15Genesis 48Genesis 48:17 →