Numbers 1:46
Jumla ya hesabu yao ilikuwa watu 603,550.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
47Hata hivyo, jamaa ya kabila la Lawi hawakuhesabiwa pamoja na wengine.
Cross References
Genesis 12:2“Mimi nitakufanya taifa kubwa 2 na nitakubariki, 1 Nitalikuza jina lako, 2 nawe utakuwa baraka. 1
Genesis 15:5Akamtoa nje na kusema, “Tazama juu kuelekea mbinguni na uhesabu nyota, kama hakika utaweza kuzihesabu.” Ndipo akamwambia, “Hivyo ndivyo uzao wako utakavyokuwa.”
Genesis 22:17hakika nitakubariki, na nitauzidisha uzao wako kama nyota za angani na kama mchanga ulioko pwani. Wazao wako watamiliki miji ya adui zao,
Genesis 28:14Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako mataifa yote ya duniani yatabarikiwa.
Exodus 12:37Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto.
Numbers 2:32Hawa ndio Waisraeli, wakiwa wamehesabiwa kufuatana na jamaa zao. Wote walio kambini kwa makundi yao ni watu 603,550.