Genesis 48:20
Akawabarikia siku ile na kusema, 1 “Kwa jina lenu Israeli watatamka baraka hii: 2 ‘Mungu na awafanye kama Efraimu na Manase.’ ” Kwa hiyo akamtanguliza Efraimu mbele ya Manase.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 24:60Wakambariki Rebeka, wakamwambia, 1 “Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu, 2 mara elfu nyingi, 1 nao wazao wako wamiliki 2 malango ya adui zao.”
Numbers 2:18Upande wa magharibi kutakuwepo na kambi ya makundi ya Efraimu chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Efraimu ni Elishama mwana wa Amihudi.
Numbers 7:54Siku ya nane Gamalieli mwana wa Pedasuri, kiongozi wa watu wa Manase, alileta sadaka yake.
Numbers 13:8kutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni; 1
Numbers 13:16Haya ndiyo majina ya watu ambao Mose aliwatuma kuipeleleza nchi. (Mose akampa Hoshea mwana wa Nuni jina Yoshua.)
Ruth 4:11Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.