Genesis 48:19
Lakini baba yake akakataa, akasema, “Ninajua, mwanangu, ninajua. Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. Hata hivyo, ndugu yake mdogo atakuwa mkuu kuliko yeye, nao wazao wake watakuwa kundi la mataifa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 25:23Bwana akamjibu, 1 “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, 2 na mataifa hayo mawili 2 kutoka ndani yako watatenganishwa. 1 Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, 2 na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”
Genesis 48:14Lakini Israeli akaupeleka mkono wake wa kuume, akauweka juu ya kichwa cha Efraimu, ingawa alikuwa ndiye mdogo, na mkono wake wa kushoto akaukatisha, akauweka juu ya kichwa cha Manase, ingawa Manase alikuwa ndiye mzaliwa wa kwanza.
Numbers 2:19Kundi lake lina watu 40,500. 1
Deuteronomy 33:17Katika fahari yeye ni kama fahali mzaliwa wa kwanza; 2 pembe zake ni pembe za nyati, 1 na kwa pembe hizo atapiga mataifa, 2 hata yaliyo miisho ya dunia. 1 Hivyo ndivyo yalivyo makumi elfu ya Efraimu; 2 hivyo ndivyo yalivyo maelfu ya Manase.”
Isaiah 7:17Bwana ataleta juu yako, juu ya watu wako, na juu ya nyumba ya baba yako wakati ambao haujawahi kuwako tangu Efraimu alipojitenga na Yuda: yeye atawaleteeni mfalme wa Ashuru.”
Revelation 7:6kutoka kabila la Asheri 12,000, 1 kutoka kabila la Naftali 12,000, 1 kutoka kabila la Manase 12,000, 1