Genesis 49:16
“Dani atahukumu watu wake kwa haki 2 kama mmoja wa makabila ya Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Dan shall judge his people, as one of the tribes of Israel.
In Context
Cross References
Numbers 10:25Mwishowe, kama kikosi cha nyuma cha ulinzi wa vikosi vyote, vikosi vya kambi ya Dani viliondoka chini ya alama yao. Ahiezeri mwana wa Amishadai alikuwa kiongozi wao.
Judges 13:2Basi palikuwa na mtu mmoja wa Sora, aliyeitwa Manoa, wa kabila la Wadani, naye alikuwa na mke ambaye alikuwa tasa na hakuwa na mtoto.
Judges 15:20Samsoni akawa mwamuzi wa Waisraeli katika siku za Wafilisti kwa muda wa miaka ishirini.
Judges 18:26Basi Wadani wakaenda zao, naye Mika alipoona kuwa wana nguvu kumliko yeye, akageuka na kurudi nyumbani kwake.