The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:15

Genesis 49:15

Aonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika 2 na jinsi nchi yake inavyopendeza, 1 atainamisha bega lake kwenye mzigo 2 na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he saw that rest was good, and the land that it was pleasant; and bowed his shoulder to bear, and became a servant unto tribute.

In Context

14“Isakari ni punda mwenye nguvu 2 ambaye amelala kati ya mizigo yake. 1

16“Dani atahukumu watu wake kwa haki 2 kama mmoja wa makabila ya Israeli. 1

Read all of Genesis 49

Cross References

Judges 3:11Hivyo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arobaini, mpaka Othnieli mwana wa Kenazi alipofariki. 1 Ehudi

Psalms 81:6Asema, “Nimeondoa mzigo mabegani mwao; 2 mikono yao iliwekwa huru kutoka kwenye kikapu. 1

Matthew 23:4Wao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:14Genesis 49Genesis 49:16 →