Genesis 5:12
Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Cainan lived seventy years, and begat Mahalaleel:
In Context
11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.
13Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.