Genesis 5:13
Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.
14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.
Cross References
Genesis 5:4Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.