Mwanzo 5:15
Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Mahalaleel lived sixty and five years, and begat Jared:
In Context
14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.
16Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Cross References
1 Chronicles 1:2Kenani, Mahalaleli, Yaredi,