Genesis 5:16
Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
17Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.