Genesis 5:19
Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jared lived after he begat Enoch eight hundred years, and begat sons and daughters:
In Context
18Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki.
20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.