Genesis 5:20
Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the days of Jared were nine hundred sixty and two years: and he died.
In Context
19Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
Cross References
Genesis 9:29Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.