Genesis 5:26
Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.