Genesis 5:25
Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Methuselah lived an hundred eighty and seven years, and begat Lamech:
In Context
24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
26Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Cross References
Genesis 4:18Enoki akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.