Genesis 5:31
Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And all the days of Lamech were seven hundred seventy and seven years: and he died.
In Context
30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.