Genesis 5:32
Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Noah was five hundred years old: and Noah begat Shem, Ham, and Japheth.
In Context
31Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.
Cross References
Genesis 6:10Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.
Genesis 9:18Wana wa Noa waliotoka ndani ya safina ni: Shemu, Hamu na Yafethi. (Hamu ndiye alikuwa baba wa Kanaani.)
Genesis 10:1Hawa ndio wazao wa Noa: Shemu, Hamu na Yafethi, ambao walizaa wana baada ya gharika. 2 Wazao Wa Yafethi 1
Genesis 10:21Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi. 1
1 Chronicles 1:4Wana wa Noa walikuwa: 2 Shemu, Hamu na Yafethi. 2 Wana Wa Yafethi 1