Genesis 5:6
Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Seth lived an hundred and five years, and begat Enos:
In Context
5Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa.
7Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Cross References
Genesis 4:26Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.