bible.software › Mwanzo › Mwanzo 50 › Mwanzo 50:4
Mwanzo 50:4
Siku za kumwombolezea zilipokwisha, Yosefu akawaambia washauri wa Farao, “Kama nimepata kibali machoni penu semeni na Farao kwa ajili yangu. Mwambieni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when the days of his mourning were past, Joseph spake unto the house of Pharaoh, saying, If now I have found grace in your eyes, speak, I pray you, in the ears of Pharaoh, saying,
In Context
3wakatumia siku arobaini, kwa maana ndio muda uliotakiwa wa kutia dawa ili asioze. Nao Wamisri wakamwombolezea Yakobo kwa siku sabini.
5‘Baba yangu aliniapisha na kuniambia, “Mimi niko karibu kufa; unizike katika kaburi lile nililochimba kwa ajili yangu mwenyewe katika nchi ya Kanaani.” Sasa nakuomba uniruhusu niende kumzika baba yangu, nami nitarudi.’ ”
Read all of Mwanzo 50
Cross References
Genesis 18:3Akasema, “Kama nimepata kibali machoni penu, ee bwana wangu, usimpite mtumishi wako.
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 50:4