Mwanzo 50:5
‘Baba yangu aliniapisha na kuniambia, “Mimi niko karibu kufa; unizike katika kaburi lile nililochimba kwa ajili yangu mwenyewe katika nchi ya Kanaani.” Sasa nakuomba uniruhusu niende kumzika baba yangu, nami nitarudi.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Farao akasema, “Panda, uende kumzika baba yako, kama alivyokuapiza kufanya.”
Cross References
Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”
Genesis 47:31Akamwambia, “Niapie.” Ndipo Yosefu akamwapia, naye Israeli akaabudu, akiwa ameegemea juu ya kichwa cha fimbo yake.
Genesis 49:29Ndipo alipowapa maelekezo haya: “Mimi niko karibu kukusanywa kwa watu wangu. Mnizike pamoja na baba zangu kwenye pango katika shamba la Efroni, Mhiti,
Deuteronomy 4:22Nitakufa katika nchi hii; sitavuka Yordani, lakini ninyi ni karibu mvuke mkaimiliki ile nchi nzuri.
2 Chronicles 16:14Nao wakamzika katika kaburi lile alilokuwa amejichongea mwenyewe katika Mji wa Daudi. Wakamzika kwa jeneza lililowekwa vikolezi na mchanganyiko wa manukato ya aina mbalimbali yaliyotengenezwa kwa utaalamu wa mtengeneza marashi, nao wakawasha moto mkubwa kwa heshima yake.
Psalms 79:3Wamemwaga damu kama maji 2 kuzunguka Yerusalemu yote, 2 wala hakuna yeyote wa kuwazika. 1