bible.software › Genesis › Genesis 50 › Genesis 50:7
Genesis 50:7
Hivyo Yosefu akapanda kwenda kumzika baba yake. Maafisa wote wa Farao wakaenda pamoja naye, watu mashuhuri wa baraza lake na watu mashuhuri wote wa Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joseph went up to bury his father: and with him went up all the servants of Pharaoh, the elders of his house, and all the elders of the land of Egypt,
In Context
6Farao akasema, “Panda, uende kumzika baba yako, kama alivyokuapiza kufanya.”
8Hawa ni mbali na watu wote wa nyumbani kwa Yosefu, na ndugu zake, na wale wote wa nyumbani mwa baba yake. Ni watoto wao, makundi yao ya kondoo, mbuzi na ngʼombe tu waliobakia katika nchi ya Gosheni.
Read all of Genesis 50
This Verse In Other Editions
Study Genesis 50:7