bible.software › Mwanzo › Mwanzo 50 › Mwanzo 50:6
Mwanzo 50:6
Farao akasema, “Panda, uende kumzika baba yako, kama alivyokuapiza kufanya.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Pharaoh said, Go up, and bury thy father, according as he made thee swear.
In Context
5‘Baba yangu aliniapisha na kuniambia, “Mimi niko karibu kufa; unizike katika kaburi lile nililochimba kwa ajili yangu mwenyewe katika nchi ya Kanaani.” Sasa nakuomba uniruhusu niende kumzika baba yangu, nami nitarudi.’ ”
7Hivyo Yosefu akapanda kwenda kumzika baba yake. Maafisa wote wa Farao wakaenda pamoja naye, watu mashuhuri wa baraza lake na watu mashuhuri wote wa Misri.
Read all of Mwanzo 50
Cross References
Genesis 48:21Ndipo Israeli akamwambia Yosefu, “Mimi ninakaribia kufa, lakini Mungu atakuwa pamoja nanyi, na atawarudisha katika nchi ya baba zenu.
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 50:6