Genesis 7:5
Noa akafanya yote kama Bwana alivyomwamuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Noah did according unto all that the LORD commanded him.
In Context
6Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia.
Cross References
Genesis 7:16Wanyama walioingia katika safina walikuwa wa kiume na wa kike, wa kila kiumbe chenye uhai kama Mungu alivyomwamuru Noa, ndipo Bwana akamfungia ndani.
Exodus 39:42Waisraeli walikuwa wamefanya kazi yote sawasawa na vile Bwana alivyokuwa amemwagiza Mose.
Psalms 119:6Hivyo mimi sitaaibishwa 2 ninapozingatia amri zako zote. 1
Luke 8:21Yesu akamjibu, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.” 1 Yesu Atuliza Dhoruba (Mathayo 8:23-27; Marko 4:35-41)
John 8:28Kisha Yesu akawaambia, “Mtakapokwisha kumwinua juu Mwana wa Adamu, ndipo mtakapojua kuwa, ‘Mimi ndiye yule niliyesema na kwamba mimi sitendi jambo lolote peke yangu bali ninasema yale tu ambayo Baba yangu amenifundisha.
Philippians 2:8Naye akiwa na umbo la mwanadamu, 2 alijinyenyekeza, akatii hata mauti: 2 naam, mauti ya msalaba! 1