Philippians 2:8
Naye akiwa na umbo la mwanadamu, 2 alijinyenyekeza, akatii hata mauti: 2 naam, mauti ya msalaba! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Kwa hiyo, Mungu alimtukuza juu sana, 2 na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 1
Cross References
Psalms 22:16Mbwa wamenizunguka, 2 kundi la watu waovu limenizingira, 2 wametoboa mikono yangu na miguu yangu. 1
Proverbs 15:33Kumcha Bwana humfundisha mtu hekima, 2 nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Matthew 17:2Wakiwa huko, Yesu alibadilika sura mbele yao. Uso wake ukangʼaa kama jua na nguo zake zikawa na weupe wa kuumiza macho.
Matthew 26:42Akaenda tena mara ya pili na kuomba, “Baba yangu, kama haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisikinywe, basi mapenzi yako yafanyike.”
Luke 9:29Alipokuwa akiomba, sura ya uso wake ikabadilika, nayo mavazi yake yakametameta kama mwanga wa umeme wa radi.
John 10:18Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”