Genesis 7:8
Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Noa na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika.
9wa kiume na wa kike, walikuja kwa Noa wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Noa.
Cross References
Genesis 6:19Utaingiza ndani ya Safina kila aina ya kiumbe hai wawili wawili, wa kiume na wa kike, ili kuwahifadhi hai pamoja na wewe.
Genesis 7:2Uchukue wanyama saba walio safi wa kila aina, wa kiume na wa kike, na wanyama wawili wawili wa kila aina walio najisi wa kiume na wa kike.
Acts 10:12Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.