The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 8 › Genesis 8:10

Genesis 8:10

Noa akangojea siku saba zaidi kisha akamtoa tena hua kutoka safina.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he stayed yet other seven days; and again he sent forth the dove out of the ark;

In Context

9Lakini hua hakupata mahali pa kutua kwa kuwa maji yalienea juu ya uso wa dunia yote, kwa hiyo akarudi kwa Noa ndani ya safina. Noa akanyoosha mkono akamchukua yule hua akamrudisha ndani ya safina.

11Wakati hua aliporejea kwa Noa jioni, alikuwa amechukua katika mdomo wake jani bichi la mzeituni, lililochumwa wakati ule ule! Ndipo Noa akajua ya kuwa maji yameondoka juu ya uso wa dunia.

Read all of Genesis 8

Cross References

Genesis 7:10Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.

Psalms 40:1Nilimngoja Bwana kwa saburi, 2 naye akaniinamia, akasikia kilio changu. 1

Isaiah 26:8Naam, Bwana, tukienenda katika sheria zako, 2 twakungojea wewe, 1 jina lako na sifa zako 2 ndizo shauku za mioyo yetu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 8:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 8:9Genesis 8Genesis 8:11 →