Genesis 8:9
Lakini hua hakupata mahali pa kutua kwa kuwa maji yalienea juu ya uso wa dunia yote, kwa hiyo akarudi kwa Noa ndani ya safina. Noa akanyoosha mkono akamchukua yule hua akamrudisha ndani ya safina.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Kisha akamtoa hua ili aone kama maji yameondoka juu ya uso wa ardhi.
10Noa akangojea siku saba zaidi kisha akamtoa tena hua kutoka safina.
Cross References
Psalms 116:7Ee nafsi yangu, tulia tena, 2 kwa kuwa Bwana amekuwa mwema kwako. 1
Ezekiel 7:16Wale wote watakaopona na kutoroka watakuwa milimani, wakiomboleza kama hua wa mabondeni, kila mmoja kwa sababu ya dhambi zake.
John 16:33Nimewaambia mambo haya, ili mpate kuwa na amani mkiwa ndani yangu. Ulimwenguni mtapata dhiki. Lakini jipeni moyo, kwa maana mimi nimeushinda ulimwengu.”