Genesis 8:19
Wanyama wote na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi na ndege wote, kila kitu kiendacho juu ya nchi, aina moja baada ya nyingine vikatoka katika safina, kila aina ya kiumbe, kimoja baada ya kingine. 1 Noa Atoa Dhabihu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Kwa hiyo Noa akatoka nje pamoja na mkewe, wanawe na wake zao.
Cross References
Genesis 1:24Mungu akasema, “Ardhi na itoe viumbe hai kulingana na aina zake: wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo ardhini na wanyama pori, kila mnyama kulingana na aina yake.” Ikawa hivyo.