Genesis 1:24
Mungu akasema, “Ardhi na itoe viumbe hai kulingana na aina zake: wanyama wa kufugwa, viumbe vitambaavyo ardhini na wanyama pori, kila mnyama kulingana na aina yake.” Ikawa hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano.
Cross References
Genesis 7:14Nao walikuwa pamoja na kila mnyama wa mwituni kufuatana na aina yake, wanyama wote wafugwao kufuatana na aina zao, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi kwa aina yake, na kila ndege kufuatana na aina yake, naam kila kiumbe chenye mabawa.
Job 38:39“Je, utamwindia simba jike mawindo, 2 na kuwashibisha simba wenye njaa 1
Job 39:5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? 2 Ni nani aliyezifungua kamba zake? 1
Job 39:19“Je, wewe humpa farasi nguvu 2 au kuivika shingo yake manyoya marefu? 1
Psalms 50:9Sina haja ya fahali wa banda lako, 2 au mbuzi wa zizi lako. 1
Psalms 104:23Kisha mwanadamu huenda kazini mwake, 2 katika kazi yake mpaka jioni. 1