The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 8 › Genesis 8:22

Genesis 8:22

“Kwa muda dunia idumupo, 1 wakati wa kupanda na wa kuvuna, 1 wakati wa baridi na wa joto, 1 wakati wa kiangazi na wa masika, 1 usiku na mchana 1 kamwe havitakoma.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

While the earth remaineth, seedtime and harvest, and cold and heat, and summer and winter, and day and night shall not cease.

In Context

21Bwana akasikia harufu nzuri ya kupendeza, naye akasema moyoni mwake, “Kamwe sitailaani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, hata ingawa kila mwelekeo wa moyo wake ni mbaya tangu ujana. Kamwe sitaangamiza tena viumbe hai vyote kama nilivyofanya. 1

Read all of Genesis 8

Cross References

Exodus 34:21“Kwa siku sita utafanya kazi, lakini siku ya saba utapumzika, hata ikiwa ni majira ya kulima au ya kuvuna lazima upumzike.

Song of Solomon 2:11Tazama! Wakati wa masika umepita, 2 mvua imekwisha na ikapita. 1

Jeremiah 5:24Wao hawaambiani wenyewe, 2 ‘Sisi na tumwogope Bwana Mungu wetu, 1 anayetupatia mvua za masika na za vuli kwa majira yake, 2 anayetuhakikishia majuma ya mavuno kwa utaratibu.’ 1

Jeremiah 33:20“Hili ndilo asemalo Bwana: ‘Ikiwa mtaweza kuvunja agano langu kuhusu usiku na mchana, ili usiku na mchana visiwepo kwa nyakati zake,

James 5:7Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 8:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 8:21Genesis 8