James 5:7
Kwa hiyo, ndugu zangu, vumilieni hadi kuja kwake Bwana. Angalieni jinsi mkulima angojavyo ardhi itoe mavuno yake yaliyo ya thamani na jinsi anavyovumilia kwa ajili ya kupata mvua za kwanza na za mwisho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Mmewahukumu na kuwaua watu wenye haki, waliokuwa hawapingani nanyi. 1 Uvumilivu Katika Mateso
8Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia.
Cross References
Deuteronomy 11:14ndipo atawanyweshea mvua katika nchi yenu kwa majira yake, mvua ya masika na ya vuli, ili mpate kuvuna nafaka zenu, divai mpya na mafuta.
Hosea 6:3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1
Zechariah 10:1Mwombeni Bwana mvua wakati wa vuli; 2 ndiye Bwana atengenezaye mawingu ya tufani. 1 Huwapa watu manyunyu ya mvua, 2 pia mimea ya shambani kwa ajili ya kila mtu. 1
Matthew 24:44Kwa hiyo ninyi pia hamna budi kuwa tayari, kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja saa msiyotazamia. 1 Mfano Wa Mtumishi Mwaminifu (Luka 12:41-48)
Luke 18:8Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?” 1 Mfano Wa Farisayo Na Mtoza Ushuru
Romans 2:7Wale ambao kwa kuvumilia katika kutenda mema hutafuta utukufu, heshima na maisha yasiyoharibika, Mungu atawapa uzima wa milele.