Genesis 8:7
na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Baada ya siku arobaini Noa akafungua dirisha alilokuwa amelifanya katika safina
8Kisha akamtoa hua ili aone kama maji yameondoka juu ya uso wa ardhi.
Cross References
1 Kings 17:4Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”
Job 38:41Ni nani ampaye kunguru chakula 2 wakati makinda yake yanamlilia Mungu, 2 yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?