Ayubu 38:41
Ni nani ampaye kunguru chakula 2 wakati makinda yake yanamlilia Mungu, 2 yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40wakati wao wamejikunyata mapangoni mwao, 2 au wakivizia kichakani? 1
Cross References
Genesis 6:21Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Psalms 147:9Huwapa chakula mifugo 2 na pia makinda ya kunguru yanapolia. 1
Luke 12:24Fikirini ndege! Wao hawapandi wala hawavuni, hawana ghala wala popote pa kuhifadhi nafaka; lakini Mungu huwalisha. Ninyi ni wa thamani zaidi kuliko ndege!