Mwanzo 9:10
pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9“Sasa mimi ninaweka Agano langu nanyi, pamoja na uzao wenu baada yenu,
Cross References
Genesis 8:19Wanyama wote na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi na ndege wote, kila kitu kiendacho juu ya nchi, aina moja baada ya nyingine vikatoka katika safina, kila aina ya kiumbe, kimoja baada ya kingine. 1 Noa Atoa Dhabihu
Job 38:1Kisha Bwana akamjibu Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli. Akasema: 1
Psalms 36:5Upendo wako, Ee Bwana, unafika hadi mbinguni, 2 uaminifu wako hadi kwenye anga. 1
Hosea 2:20Nitakuposa kwa uaminifu, 2 nawe utamkubali Bwana. 1