The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 9 › Genesis 9:20

Genesis 9:20

Noa akawa mkulima, akawa mtu wa kwanza kupanda mizabibu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Noah began to be an husbandman, and he planted a vineyard:

In Context

19Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.

21Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.

Read all of Genesis 9

Cross References

Genesis 3:18Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, 2 nawe utakula mimea ya shambani. 1

Genesis 4:2Baadaye akamzaa Abeli ndugu yake. Basi Abeli akawa mfugaji, na Kaini akawa mkulima.

Deuteronomy 20:6Je, kuna yeyote aliyepanda shamba la mizabibu na hajaanza kulifurahia? Yeye na arudi nyumbani, au sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akalifurahia.

Proverbs 10:11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1

Proverbs 24:30Nilipita karibu na shamba la mvivu, 2 karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 1

Song of Solomon 1:6Usinikazie macho kwa sababu mimi ni mweusi, 2 kwa sababu nimefanywa mweusi na jua. 1 Wana wa mama yangu walinikasirikia 2 na kunifanya niwe mtunza mashamba ya mizabibu. 2 Shamba langu mwenyewe la mizabibu nimeliacha. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 9:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 9:19Genesis 9Genesis 9:21 →