Proverbs 10:11
Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The mouth of a righteous man is a well of life: but violence covereth the mouth of the wicked.
In Context
10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, 2 naye mpumbavu apayukaye huangamia. 1
12Chuki huchochea faraka, 2 lakini upendo husitiri mabaya yote. 1
Cross References
Psalms 37:30Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima, 2 nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 1
Proverbs 10:6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 10:32Midomo ya wenye haki inajua kile kinachofaa, 2 bali kinywa cha mwovu hujua kile kilichopotoka tu.
Proverbs 15:4Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima, 2 bali ulimi udanganyao huponda roho. 1
Proverbs 16:22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, 2 bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 1
Proverbs 20:15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, 2 lakini midomo inenayo maarifa 2 ni kito cha thamani kilicho adimu. 1