Hagai 1:2
Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Hawa watu husema, ‘Wakati haujawadia wa kujenga nyumba ya Bwana.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Kisha neno la Bwana likaja kupitia kwa nabii Hagai:
Cross References
2 Kings 12:7Kwa hiyo Mfalme Yoashi akamwita Yehoyada kuhani na makuhani wengine, akawauliza, “Kwa nini hamtengenezi uharibifu uliofanyika hekaluni? Msichukue fedha zaidi kutoka kwa watunza hazina wenu kwa ajili ya matumizi yenu, lakini kuanzia sasa ni lazima fedha yote itumike kwa ajili ya kukarabati Hekalu.”
Nehemiah 4:10Wakati ule ule, watu wa Yuda wakasema, “Nguvu za wafanyakazi zinapungua, nacho kifusi ni kingi mno, kiasi kwamba hatuwezi kuujenga upya ukuta.”
Proverbs 26:13Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, 2 simba mkali anazunguka mitaa!” 1
Ecclesiastes 3:3wakati wa kuua na wakati wa kuponya, 2 wakati wa kubomoa, 2 na wakati wa kujenga, 2
Ecclesiastes 11:4Yeyote atazamaye upepo hatapanda, 2 yeyote aangaliaye mawingu hatavuna. 1