The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 26 › Proverbs 26:13

Proverbs 26:13

Mvivu husema, “Yuko simba barabarani, 2 simba mkali anazunguka mitaa!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The slothful man saith, There is a lion in the way; a lion is in the streets.

In Context

12Je, unamwona mtu ajionaye mwenye hekima 2 machoni pake mwenyewe? 2 Liko tumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko kwake. 1

14Kama vile mlango ugeukavyo kwenye bawaba zake, 2 ndivyo mvivu ajigeuzavyo kitandani mwake. 1

Read all of Proverbs 26

Cross References

Proverbs 19:15Uvivu huleta usingizi mzito, 2 naye mtu mzembe huona njaa. 1

Matthew 25:25Kwa hiyo niliogopa, nikaenda, nikaificha talanta yako ardhini. Tazama, hii hapa ile iliyo mali yako.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 26:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 26:12Proverbs 26Proverbs 26:14 →