The Bible Software
bible.software › Waebrania › Waebrania 1 › Waebrania 1:5

Waebrania 1:5

Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mungu alipata kumwambia, 1 “Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa?” Au tena, 1 “Mimi nitakuwa Baba yake, 2 naye atakuwa Mwanangu?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For unto which of the angels said he at any time, Thou art my Son, this day have I begotten thee? And again, I will be to him a Father, and he shall be to me a Son?

In Context

4Kwa hiyo alifanyika bora kuliko malaika, kama jina alilorithi lilivyo bora kuliko lao.

6Tena, Mungu amletapo mzaliwa wake wa kwanza ulimwenguni, anasema, 1 “Malaika wote wa Mungu na wamsujudu.”

Read all of Waebrania 1

Cross References

1 Chronicles 17:13Mimi nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Kamwe sitaondoa upendo wangu kwake, kama nilivyouondoa kwa yeye aliyekutangulia.

1 Chronicles 28:6Aliniambia, ‘Solomoni mwanao ndiye atakayejenga nyumba yangu na nyua zangu, kwa maana nimemchagua yeye kuwa mwanangu, nami nitakuwa baba yake.

Psalms 89:26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, 2 Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 1

Hebrews 5:5Pia Kristo hakujitwalia utukufu yeye mwenyewe wa kuwa Kuhani Mkuu, bali Mungu alimwambia, 1 “Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Waebrania 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waebrania 1:4Waebrania 1Waebrania 1:6 →