The Bible Software
bible.softwareHebrewsHebrews 1 › Hebrews 1:6

Hebrews 1:6

Tena, Mungu amletapo mzaliwa wake wa kwanza ulimwenguni, anasema, 1 “Malaika wote wa Mungu na wamsujudu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And again, when he bringeth in the firstbegotten into the world, he saith, And let all the angels of God worship him.

In Context

5Kwa maana ni malaika yupi ambaye wakati wowote Mungu alipata kumwambia, 1 “Wewe ni Mwanangu; 2 leo mimi nimekuzaa?” Au tena, 1 “Mimi nitakuwa Baba yake, 2 naye atakuwa Mwanangu?”

7Anenapo kuhusu malaika asema, 1 “Huwafanya malaika wake kuwa pepo, 2 watumishi wake kuwa miali ya moto.”

Read all of Hebrews 1

Cross References

Psalms 97:7Wote waabuduo sanamu waaibishwa, 2 wale wajisifiao sanamu: 2 mwabuduni yeye, enyi miungu yote! 1

Luke 2:9Ghafula tazama, malaika wa Bwana akawatokea, nao utukufu wa Bwana ukawangʼaria kotekote, wakaingiwa na hofu.

John 1:18Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote, ila ni Mungu Mwana pekee, aliye kifuani mwa Baba ndiye ambaye amemdhihirisha. 1 Ushuhuda Wa Yohana Mbatizaji (Mathayo 3:1-12; Marko 1:1-8; Luka 3:1-18)

Romans 8:29Maana wale Mungu aliowajua tangu mwanzo, pia aliwachagua tangu mwanzo, wapate kufanana na mfano wa Mwanawe, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi.

Colossians 1:18Yeye ndiye kichwa cha mwili, yaani kanisa, naye ndiye mwanzo na mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu, ili yeye awe mkuu katika vitu vyote.

Hebrews 10:5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: 1 “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, 2 bali mwili uliniandalia; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Hebrews 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hebrews 1:5Hebrews 1Hebrews 1:7 →