Waebrania 10:18
Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. 1 Wito Wa Kuvumilia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now where remission of these is, there is no more offering for sin.
In Context
17Kisha aongeza kusema: 1 “Dhambi zao na kutokutii kwao 2 sitakumbuka tena.”
Cross References
Hebrews 10:14kwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa.