bible.software › Waebrania › Waebrania 10 › Waebrania 10:17
Waebrania 10:17
Kisha aongeza kusema: 1 “Dhambi zao na kutokutii kwao 2 sitakumbuka tena.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And their sins and iniquities will I remember no more.
In Context
16“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao 2 baada ya siku hizo, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, 2 na kuziandika katika nia zao.”
18Basi haya yakiisha kusamehewa, hakuna tena dhabihu yoyote inayotolewa kwa ajili ya dhambi. 1 Wito Wa Kuvumilia
Read all of Waebrania 10
Cross References
Hebrews 8:12Kwa sababu nitasamehe uovu wao, 2 wala sitazikumbuka dhambi zao tena!”
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 10:17