Waebrania 10:33
Wakati mwingine mlitukanwa na kuteswa hadharani; wakati mwingine mlikuwa radhi kuungana na wale waliofanyiwa hivyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Kumbukeni siku zile za kwanza, ambazo mkiisha kutiwa nuru mlistahimili mashindano makali ya maumivu.
Cross References
Psalms 69:9Kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila, 2 matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia. 1
Psalms 74:22Inuka, Ee Mungu, ujitetee; 2 kumbuka jinsi wapumbavu 2 wanavyokudhihaki mchana kutwa. 1
Psalms 89:51dhihaka ambazo kwazo adui zako 2 wamenisimanga, Ee Bwana, 1 ambazo kwazo wamesimanga 2 kila hatua ya mpakwa mafuta wako. 1
Nahum 3:6Nitakutupia uchafu, 2 nitakufanyia dharau 2 na kukufanya kioja. 1
1 Corinthians 4:9Kwa maana ninaona kwamba Mungu ametuweka sisi mitume katika nafasi ya mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kufa kwenye uwanja wa tamasha, kwa sababu tumefanywa kuwa maonyesho kwa ulimwengu wote, kwa malaika na kwa wanadamu pia.
Philippians 1:7Ni haki na ni wajibu wangu kufikiri hivi juu yenu nyote, kwa sababu ninyi mko moyoni mwangu. Ikiwa nimefungwa au nikiwa ninaitetea na kuithibitisha Injili, ninyi nyote mnashiriki neema ya Mungu pamoja nami.