bible.software › Waebrania › Waebrania 11 › Waebrania 11:28
Waebrania 11:28
Kwa imani akaadhimisha Pasaka na kunyunyiza damu, ili yule mwenye kuwaangamiza wazaliwa wa kwanza asiwaguse wazaliwa wa Israeli. 1 Imani Ya Mashujaa Wengine Wa Israeli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Through faith he kept the passover, and the sprinkling of blood, lest he that destroyed the firstborn should touch them.
In Context
27Kwa imani Mose aliondoka Misri bila kuogopa ghadhabu ya mfalme. Alivumilia kwa sababu alimwona yeye asiyeonekana kwa macho.
29Kwa imani, watu walivuka Bahari ya Shamu + 11:29 Yaani Bahari ya Mafunjo. kama vile juu ya nchi kavu; lakini Wamisri walipojaribu kufanya hivyo, walitoswa ndani ya maji.
Read all of Waebrania 11
Cross References
Exodus 12:21Ndipo Mose akawaita wazee wote wa Israeli na kuwaambia, “Nendeni mara moja mkachague wanyama kwa ajili ya jamaa zenu, mkachinje mwana-kondoo wa Pasaka.
Hebrews 12:24kwa Yesu mpatanishi wa agano jipya, na kwa damu iliyonyunyizwa, ile inenayo mambo mema kuliko damu ya Abeli.
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 11:28